Msanii Wa Nigeria anayeonekana kutumia muda wake mwingi zaidi na wasanii wakali na wakubwa wa marekani Wiz Kid Ameendelea Kuonekana Na Watu Maarufu Wa Hollywood ikiwa ni kikazi zaidi
Wakati huu anasema yupo tayari kutoa Albam Mbili Kwa Mpigo anasema tayari Albam Ya Pili Imeshakamilika na sasa anafanyiaa kazi albam ya tatu ambayo anasema bado kidogo tu na yenyewe ikamilike
Hata hivyo Ngoma Yake Aliyofanya Na Chris Brown Nayo Imekamilika na anatarajia kuitoa hivi karibuni
Hapa Wiz Kid Akiwa Na Big Sean Muimbaji Na Ty Dolla $ign Uimbaji na Mtunzi Alichotweet