
baada ya ule mtiti wa mangumi na mateke ya Solange kwa shemeji yake Jay Z katika Lift wakati wanatoka kwenye Part , Dada Mtu Ameshare Picha Ya Pamoja kuonyesha Familia Yao ipo strong na kwamba yale yalikua mambo ya kupita tu Beyonce anaonekana kujitahidi sana kuuonyesha uma kuwa hakunakubwa kama walivyolikuza lililotokea Mara Hii Amashare Picha Inayomuonyesha akiwa pamoja na Mumewe, Mama Yake pamoja na Solange
