Toka uanze kuona tatoo itakuwa umeona nyingi lakini hawa jamaa kiboko,tushazoea kuwaona wakina Rick Ross,Lil Wayne,Tyga,The Game,Wiz Khalifa na wengine wakiwa na tatoo tumboni,kifuani,shingoni,mikononi na sehemu nyingine.
Lakini hawa jama kutoka Philippines ikiwa ni katika Dutdutan Tattoo Festival,jamaa tatoo full nguo yangu,hawa ni tatoo lovers…Mmh!