
Nicki Minaj na Meek Mill penzi lao linazidi kuwa imara kuliko ilivyokuwa! Nicki Minaj alishare yao wakiwa pamoja na Meek Mill, hii kiukweli ipo kihisia
Kwa sasa wakali hao hawajaonekanapamoja kwa wiki kadhaa huku Meek Mill akikabiliwa na kesi yake ya kukiukamasharti aliyokuwa amewekewa kwa kifungo chake cha nje, akiwa amekatazwakusafiri au kufanya ziara nje ya Phalladelphia mpaka Januari 16, akiwaamebakiza siku kadhaa kukamilisha kifungo hicho.
