Bongoflava
Audio: Kauli ya Ommy Dimpoz Baada ya Kutajwa kumtusi Ngwea/Globo nao Wamjibu
MWILI WA LANGA WAAGWA NA UTAZIKWA LEO

Mwili wa Marehemu Langa Kileo aliyefariki dunia wiki iliyopita umeagwa leo nyumbani kwao mikocheni Dar es Salaam kwa mujibu wa ratiba ya mazishi iliyotolewa mwili wake uliwasili nyumbani kwao asubuhi na heshima za mwisho kuanza kutolewa saa saba hadi saa nane baada ya hapo kupelekwa kwenye makaburi ya Kinondono kwa… Read More →
Video: Albert Mangwea Special Program
Baada ya Ommy Dimpoz Kumdhihaki (Tusi) Marehemu Ngewa, TID aibuka na kusema Atamdunda

KWELI asiye na adabu hakosi sababu ya kuharibu, mwenye mdomo mchafu ni ada yake kutoa neno chafu, mwanamuziki chipukizi, Omar Faraji Nyembo ‘Ommy Dimpoz’, amedhihirisha kuwa ana kiwango cha juu sana cha dharau kwa kumdhihaki na kumtusi mtu aliyetangulia mbele za haki. Utamaduni wetu Tanzania na kama ilivyo kwa mafundisho… Read More →
Tazama katika picha jinsi Show Ya Lady Jay Dee Ilivyofana….Karibu katika zulia langu

Mh:Sugu, Mkolon pamoja na Proff.J Hatimae hayawi hayawi yakawaaaaa, Ile show ya mwana dada mwenye majina mengi sana yenye maana kutokana na mambo kadha aliyoyapitia katika maisha yake ya kimuziki, Judith Wambura Mbibo aka Lady Jay Dee, komando, mama some food, lakini kubwa kuliko kwa sasa ANAKONDA,,, Jana ndio… Read More →
Exclusive Video: Big JahMan-Sweet Sweet
Baada ya kimia kidogo Msanii wa miondoko ya Ragga Dance Hall, Big JahMan amekuja na kichupa kipya kikali kama utakavyokiona hapo director akiwa Malcom, Video inaitwa ‘Sweet Sweet’ Audio ya wimbo huu pia imetoka na utaisikia kupitia vituo mbali mbali vya Radio. Support ndio jambo la msingi kwa wasanii wetu… Read More →
Ratiba ya Mazishi ya Msanii Langa kileo Aliyefariki Jana

Ratiba ya mazishi ya ndugu yetu Langa Kileo itakuwa kama ifuatavyo, msiba upo nyumbani kwa wazazi wa Langa maeneo ya Mikocheni nyuma ya Hospitali ya AAR zamani kulikuwa na ofisi za Benchmark Production. Mwili wa marehemu utaagwa siku ya Jumatatu majira ya saa 7 mchana na baada ya hapo mwili… Read More →
Breaking News: Msanii Langa Afariki Dunia
