Song: Dijah & Namcy – Kantangaze listen and download

Kweli haya ndio mahaba niteketeze, hata uambiwe ufanye nini cha ajabu midhali ni mpeni wako haina neno. “Bin Looking for my wig da whole morning…look wea i found it…. my crazy baby… Limempendeza though…hihihihi…..”Wema ameshare Picha Hii na maneno hayo kwenye mtandao wake Wa InstaGram Unaomuonyesha Mpenzi wake Diaomond Msanii… Read More →
Msanii Anayeonekana kung’ara tena kwa kutajwa katika vipengele kadhaa ndani ya Tuzo Za Kili 2014 Diamond Platinum hajaonyesha kuridhishwa na Baraza la Sanaa La Taifa Basata Baada ya Baraza Hilo kuzitoa baadhi ya nyibo Mchakatoni kwa madai ya kuwa hazipo kwenye maadili Nyimbo zilizotelewa ni pamoja na Uzuri Wako… Read More →
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania. Kabla ya kuanza kutajwa kwa wanaowania tuzo za KTMA 2014, BASATA ilitangaza nyimbo ambazo zimetolewa kwenye kuwania tuzo hizi kutokana na sababu za kimaudhui kama unavyoona… Read More →
Yale majanga aliyoyaimba kupitia wimbo wake wa majanga yamkuta mwenyewe Msanii Snura Baada ya Picha zinazosemekana akiwa kwa mganga anaroga kusambaa katika mitandao mbali mbali ya jamii baada ya tukio hilo msanii huyo alijikuta akipokea sim nyingi zinazomuhoji nini kimemsibu na haya ndio yake alosema: Jaman jaman picha zangu zote… Read More →
Drama Continue, kama kawa wazee wa drama wamelipuka tena mara hii kaanza Wema kupitia Instagram yake, kawachana masnich wanaoingilia penzi lake taaam na bwana wake Diamond, tena kawacha na hasaaaaa Huku akiambatanisha Picha inayomuonyesha Diamond Usingizini Akiwa Na Alama Ya LIPS shavuni kwakwe inayoashiria Busu bichii limepigwa wakati huo maneno… Read More →
msanii wa muziki a bongoflava Omary Nyembo Also Known As Ommy Dimpoz Aliyepo nchini uingereza kwa muda sasa tangu alipokwenda akitokea nchini marekani kwa ajili ya show ya Valentine Ameshare Picha zinazomuonyesha akiwa chini ya ulinzi wa Askari police wa jiji la London. Sio kama kweli Ommy Dimpoz Amefanya kosa… Read More →
INTER COLLEGE BEACH BONANZA @ Mbalamwez Beach Itakuwa 29th March 2014 from 11 am till late Nights Mchana sports and games, usiku it’s perfomance from dferent artsts.. suprise perfomance from TeamBronxi.. Entrance: 6000 tcket bought before and 8000 tcket at the gate U don wanma miss this JIONGEZE Sponsored by:… Read More →
LoadEyes Akiwa Mikononi wma police baada ya tuhuma za kuiba Lap top Msanii Ray C ambaye amepona na kutoka katika kisima cha matumizi mabaya ya kulevya amemuasa mpenzi wake wa zamani ambaye ni mwanamuziki mwenzie kutoka Kundi La weusi LoadEyes kuachana na matumizi ya madawa ya kulevya kwa maana ndio… Read More →