SKILIZA WIMBO ALIOUREKOD ALABERT MANGWEA AKIWA AFRIKA KUSINI
HUU NDIO WIMBO ULIOMCHELEWESHA MANGEWA KURUDI TANZANIA TOKA AFRIKA YA KUSINI BAADA YA MSANII MBONGO MUSSA AKA MORSSED ANAYEISHI NCHINI HUMO KATIKA MJI WA KIMBERLY KUMUOMBA ASUBIRI ILI WAFANYE COLABO YA WIMBO HUU KABLA HAJARUDI NYUMBANI TANZANIA WIMBO UNAITWA PHUZA, NI MORSSED FT MANGWEA NA HUO NDIO WIMBO ALIOUFANYA MUFA… Read More →