Dj Q Spin on Desk for 80’s GROWN DISCO

80’s GROWN DISCO @ Mikocheni resort every friday night, dj Q spin on the desk..FREE ENTRANCE with smart dress code.
MGOGORO wa kimuziki kati ya msanii Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ na kituo kimoja cha redio umezidi kuchukua kasi huku makundi mawili, kila moja likitengeneza ngome yake na kuamini linachoamini. Kundi ambalo linamuunga mkono Jaydee na kumuona ni mkombozi, anazungumza kwa niaba yake na wasanii wengine, la pili ni lile… Read More →
Wakati Lady Jay Dee anakaribia kuzindua Albam yake ya sita ifikapo tarehe 31 mwezi wa Tano aliyoipa jina la ‘NOTHING BUT TRUTH’ Bado ameendelea kuwachana wale ambao kwake yeye anawaona ni mafisadi wa miziki kupitia ukurasa wake wa tweeter, na mara hii ameamua kuwataja kwa majina kabisa unaweza kuona… Read More →
Week End Hii Baraza la sanaa la Taifa Basata kupitia Kinywaji cha Kilimanjaro liliandaa Semina ya wadau wa Muziki wakiwemo Watangazaji kutoka mikoa yote, Ma Dj, na wadau mbalimbali wanaohusika na muziki Kwa karibu ili kufanya Mchakato wa kuwapata wanamuziki watakaoingia kwenye kinyang’anyiro cha Kilimanjaro Music Awards inayotarajiwa kufanyika Mwezi… Read More →
Baadhi ya watu wamejitokeza na kumfariji Wema Sepetu Baada ya kuamua Kufunguka Kuhusu uhalisia wa maisha yake hasa katika upande wa Drama za kimapenzi unaoendelea Baina Yake na aliyewahi kuwa Mpenzi wake Diamond na Penny ambaye ndio mpenzi mpya Wa Diamond. Na hiki ndicho alichokiandika Kupitia ukurasa wake wa Instagram… Read More →
Katika kuonesha kwamba bado ana kiu ya kuona sanaa yake inapanuka na kuvuma mbali huku akiboresha maisha yake, kukuza kipato na kuongeza ufanisi , msanii wa muziki wa kizazi kipya nchiniH. Baba ameamua kujikita katika biashara kwa style ya kipekee kwa kuingiza sokoni bidhaa aina ya pipi zenye jina, picha na… Read More →
pamoja na umati uliojitokeza kumzika Mwanamuziki mkongwe Fatma Binti Baraka aliyefariki jana nyumbani kwake zanzibar baada ya kusumbuliwa na maradhi ya mapafu kwa muda mrefu pia wasanii wachanga wa kizazi kipya walijitokeza kumzika mkongwe huyo wa muziki miondoko ya Taarab akiwemo Diamond, FidQ na wengine wengi katika sekta mbali mbali… Read More →
ni katika Katika party ya Annual Kadooment Day celebration huko Barbados sehemu ambayo Mwanadada Rihana alizaliwa, katika party hiyo Rihanna aliamua kufanyia sherehe hiyo mtaani huku akiwa uchi kama picha zinavyoonekana, ni kama utamuduni katika sehemu hiyo ya Barbados kushereheke barabarani na kuvaa mavazi ya nusu uchi kabisa kila… Read More →
Baada ya kufanya vizuri katika Super Bowl katika kuonyesha uwezo wake katika muziki baada ya maneno kuibuka baada ya kuimba kwa play Back wakati wa kuapishwa Rais Barak Obama, sasa Bey amekuja kivingine na MRS.CARTER TOUR ambayo imeanza kuonyesha dalili nzuri huko Serbia baada ya kushuhudiwa na mashabiki wengi zaidi…. Read More →