Lionel Messi Apata Mtoto Wa Pili
 
					
	    	
	    			
	    		
	    		Lionel Messi Na Mpenzi wake Antonella Roccuzzo wamepata mtoto wa0 pili wa kiume alfajiri ya kuamkia leo Mtoto huyo amepewa jina la Mateo. Messi na Antonella ni wazazi wa mtoto mwingine wa kuimeThiago.




 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		 
					
	    	
	    			
	    		
	    		