Yaripotiwa Concert Ya J.Cole Kumalizika Kwa Kupigwa Risasi Kwenye Parking

Watu wawili waliripotiwa kupigwa risasi kwenye show ya J.Cole katika eneo la kupaki magari, wakati wa ziara yake ya “Forest Hills Drive tour” ambayo ilifanyika Holmdel huko New Jersey siku ya Jumatatu Agosti 3, imeripotiwa concert iliishia kwa kupigwa risasi katika eneo la PNC arts Center, taarifa za complex.com zimeeleza…. Read More →