Jackie Chan Aeleza Kusikitishwa Kwake Na Jinsi Mtoto Wake Alivyokutwa Na Madawa Ya kulevya
Mkongwe katika mambo ya sinema duniani Jackie Chan ameelezea kushtushwa kwakwe na jinsi alivyovunjika moyo kuhusu taarifa za kukamatwa kwa mtoto wake wa kiume mwenye umri wa miaka 31 Jaycee Chan, nyumbani kwakwe baada ya kukutwa na grams 100 za marijuana zilizogundulika Jaycee mtoto wa Jack Chan Polisi wamesema… Read More →
