Kama Ulikuwa Hujui Hii Ndo Sababu Ya Jay Z Na Beyonce Kutohudhuria Harusi Ya Kanye West Na Kim Kardashian

Mwanzoni watu walijiuliza inawezekanaje Jay Z na Beyonce marafiki wakubwa wa Kanye West kukosa harusi yake, sababu kubwa ya Jay Z na Beyonce kutohudhuria kwenye harusi ile rasmi ilianzia kwenye mapigano kwenye lifti, Ingawa Newyork post wanasema hii ndio sababu ya kweli:- “Waliepuka harusi ya Kanye West na Kim Kardashian… Read More →