Kanye West Azungumza Kuhusu Albamu Mpya Akiwa Na Jay z

Kama unakumbuka albamu ya Kanye West na Jay z ya “Watch The Throne” ilikuwa ni kati ya albamu bora ikiwa na ngoma kali kama “Nigaz in Paris” Watch The Throne” yenyewe na ngoma nyingine kali, kiukweli Kanye na Jay wanabongo moja la chemistry wakifanya ngoma inakuwa kali sana kwa sababu… Read More →