Song: Dijah & Namcy – Kantangaze listen and download

Kweli haya ndio mahaba niteketeze, hata uambiwe ufanye nini cha ajabu midhali ni mpeni wako haina neno. “Bin Looking for my wig da whole morning…look wea i found it…. my crazy baby… Limempendeza though…hihihihi…..”Wema ameshare Picha Hii na maneno hayo kwenye mtandao wake Wa InstaGram Unaomuonyesha Mpenzi wake Diaomond Msanii… Read More →
Baada ya kelele nyingi juu ya kutokea kwenye uso wa jarida la US Vogue Kim Kardashian Na Mchumba wake Kanye West wamewaziba midomo Ma Hate baada ya kuonekana wakimtoa Chakula Cha Usiku Muhariri Mkuu Wa jarida hilo Anna Wintour huko York City’s Waverly Inn Kivazi cha Kim mara hii ndio komesha bovu… Read More →
Pamoja na ndoto yake ya siku nyingi kutimia kutokea juu ya uso wa jarida la Vogue USA Kim Kardashian ameonekana kutokubalika kutokea juu ya uso wa jarida hilo na baadhi ya wasomaji wa jarida hilo… Haya ni baadhi ya maoni yaliotolewa na wsomaji mara baada ya kuona anayetokea na ni… Read More →
Msanii Anayeonekana kung’ara tena kwa kutajwa katika vipengele kadhaa ndani ya Tuzo Za Kili 2014 Diamond Platinum hajaonyesha kuridhishwa na Baraza la Sanaa La Taifa Basata Baada ya Baraza Hilo kuzitoa baadhi ya nyibo Mchakatoni kwa madai ya kuwa hazipo kwenye maadili Nyimbo zilizotelewa ni pamoja na Uzuri Wako… Read More →
Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule rasmi yaani ‘nominees’ wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania. Kabla ya kuanza kutajwa kwa wanaowania tuzo za KTMA 2014, BASATA ilitangaza nyimbo ambazo zimetolewa kwenye kuwania tuzo hizi kutokana na sababu za kimaudhui kama unavyoona… Read More →
Yale majanga aliyoyaimba kupitia wimbo wake wa majanga yamkuta mwenyewe Msanii Snura Baada ya Picha zinazosemekana akiwa kwa mganga anaroga kusambaa katika mitandao mbali mbali ya jamii baada ya tukio hilo msanii huyo alijikuta akipokea sim nyingi zinazomuhoji nini kimemsibu na haya ndio yake alosema: Jaman jaman picha zangu zote… Read More →
Jana Jumamosi Ndio Ilikuwa Ahadi Iliyotimia ya Mwanamuziki Paul Okoye wa Kundi La P’Square baada ya kumuoa mchumba na mama wa watoto wake Anita Isamas, Harusi Hiyo ilifanyika huko Aztech Arcum ,Port-Harcour Nchini Nigeria huku ikihudhuriwa pamoja pacha mwenzie kutoka kundi hilo la P’squre Peter na Mkewe lakini pia watu mbalimbali… Read More →
Ok Madam Sepetu Ameamua kubaki na kipara, kifupi amekuwa Natural no makeup No wig, weav, wala makope Bandia Ameshare Picha Za uonekano wake mpya Instagram imekaaje hiyo? wewe kama shabiki wake unaionaje? Abaki Kipara au aendelee na mizigo Yake Kichwani? unadhani Anapendeza akiwa na nywele au asipokua nazo na vipi… Read More →