It’s THEIR time

ile video iliyokuwa imesubiriwa kwa hamu sana ya Yahaya ya Lady Jay Dee Inatarajia kuzinduliwa Kesho Ijumaa Tarehe 16, katika kiota cha burudani cha nyumbani lounge morocco jijni dar. Jay dee ameandika kupitia Blog yake kuwa : ‘Hivi sasa iko tayari, tumeona si vibaya tukaifanyia kiji party kidogo cha utambulisho… Read More →
Hivi karibuni kupitia mtandao wake wa Face Book Mwanamuziki mkubwa Tanzania mwanadada Lady Jay Dee ametupia picha alizopiga na mwanamuziki Mashuhuri na mkongwe Afrika na Dunia Self Keita kutoka mali Lady Jay Dee aliandika ya kwamaba amekutana na mwanamuziki huyo huko Nairobi Nchini Kenya katika Hotel Ya Southern Sun wakati… Read More →
Leo katika kipindi cha Afrika Kabisa Cha Magic Fm katika mahojiano yake na mimi Joniko Flower amesema yeye na mwana dada Lady Jay Dee Aka Anakonda Hawana Tatizo lolote na kwamba Lady Jay Dee ni Kama Dada yake kabisa. Joniko na mini Joniko alisema kuondoka kwakwe machozi nikatika hali ya… Read More →
Mrembo Wa Ilala miaka iliyopita na mwanamuziki Feza Kessy Ambaye alikuwa ni moja ya Mtanzania aliyeiwakilisha Nchi Vizuri Kabisa katika shindano la Big Brother The Chase anatarajia kuwasili Kesho jioni saa 12:30 akitokiea nchini Afrika kusini na Ndege ya Shirika la Ndege la Afrika Kusini baada ya kutolewa Ndani ya… Read More →
ikiwa ndio wiki moja kabla ya wiki ya fainali, jumapili inayokuja ndio Evection show kablda ya fainali ya kumpata mshindi wa kitita cha dola laki tatu. kwasasa washiriki wamebaki saba tu ili kibakisah top five ni lazima wiki hii waondoke wawili ambapo bahati mbaya imewadondokea Bimp kutoka Ethiopia, Dilish wa… Read More →
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Ney wa Mitego, ameweka wazi kuwa ikitokea amefariki dunia hatohitaji kamati kwa ajili ya kuendesha mipango ya msiba wake, kwa kile anachodai kuwa kamati hizo zipo kwa ajili ya kuvuna pesa. Hayo aliweka wazi baada kupokea ujumbe mfupi kwenye simu yake wenye vitisho uliotokana… Read More →
Hatimaye safari ya Tanzania katika Big Brother ‘The Chase’ imefikia tamati jana (August 11) baada ya mshiriki pekee aliyekuwa amesalia Feza Kessy kutolewa.Feza ambaye amefanikiwa kudumu kwenye mchezo kwa siku 77 amekuwa mshiriki wa 20 kuliaga shindano hilo huku Cleo na Dillish waliokuwa dangerzone wakibaki salama.Feza aliyekuwa ameshikilia bendera ya… Read More →
Wakati tunaringishia Vidole vyetu na vipete vya Tanzanite vya Gram mbili mbili wakati wa kuombwa uchumba sijui Lola Natasha Mchumba Wa Peter okoye kutoka kundi la Psquare yeye afanyaje hahahaha… nimekomaaaaaaaaaaaa Katika kuonyesha kuwa Wanamuziki hawa wamefanikiwa jana kupitia Ukurasa wake wa instagram Peter alitupia Picha ya zawadi ya Gari… Read More →