Video: Msichana huyu wa Kitanzania kula bingo Ulaya???? Ni baada ya uwezo wake wa kuchezea Mpira kuonekana katika mitandao huko ulaya
Msichana huyu Ambaye jina lake halikufahamika mara moja, Ni msichana ambaye Video ya jinsi anavyoweza kuumiliki mpira imesambaa katika mitandao mbalimbali huko ulaya baada ya kuanzia kuonekana kupitia mtandao wa Youtube. Huyu dada mimi binafsi nimeshamuona mara kadhaa akipita katika mabaaa au sehemu zenye mikusanyiko ya watu wengi na… Read More →