Waziri Mkuu Wa Libya Azuiwa Kusafiri Nje Ya Nchi
Kiongozi wa mashtaka Nchini Libya Abdel-al-Qader Radwan amemzuia Waziri mkuu wa Taifa hilo aliyevuliwa madaraka, Ali Zeidan, kusafiri nje ya taifa hilo hadi pale uchunguzi dhidi yake utakapokamilika. Ali Zeidan Anatuhumiwa kwa madai ya ubathirifu wa pesa za umma. Bwana Zeidan amesimamishwa kazi mapema siku ya Jumanne na Bunge la… Read More →