Amber Rose “Bawse”
Amber Rose ameshare picha akiwa anajisafisha kucha za mkono huku akiwa ameweka miguu yake kwenye makalio ya mshikaji akipiga push ups akaandika “Bawse”
Prince William na Kate Middleton wametoa picha rasmi ya kwa ajili ya kadi ya Christmas ya mwaka huu,amesema msemaji wa familia, Merry Christmas kutoka kwa Duke na Duchess wa Cambridge, Prince George na Princess Charlotte ‘The Duke and Duchess are hugely appreciative of all the warm messages they have received… Read More →
Andy Murray anajiandaa kujitoa mapema kwenye mashindano ya Australia Open kukiwa na umuhimu wa kufanya hivyo ili aende akawepo wakati mke wake akijifungua mtoto wao wa kwanza, Akiwa ni bingwa namba 2 wa Tennis duniani ambae amekuwa akipoteza katika fainali katika michezo minne ndani ya Melbourne, ameweka wazi atajitoa katika… Read More →
Mkali wa ngoma ya “Wreckage Ball” mwanadada ambaye haishi vituko, wakati anatoka watu wengi walimfananisha na Rihanna lakini Miley Cyrus anaweza akawa kadata zaidi,huwa haoni hatari kubaki na chupi tu anapokuwa jukwaani pamoja kuvuta bangi akiwa jukwaani kwani ishatokea mara kadhaa. Miley Cyrus aliwasha bangi na kutoa nguo ya juu… Read More →
Kim Kardashian hakuficha kuhusu matatizo yake aliyopitia akiwa na mimba,akiwa anasumbuliwa na ugonjwa unaitwa placenta accrete,ikiwa ni hatari sana kwa maisha wakati ukiwa na mimba hata ukiwa hauna mimba. Tunaambiwa madaktari ilibaki kidogo apate accrete tena na kumuweka yeye mtoto katika hatari. Kim Kardashian na Kanye West mtoto wao waliempata… Read More →
Unakuwa huamini kama kinachotokea ni kweli au unaota,kufanya mapenzi na mwanamke mpya inaweza kutengeneza nyege zenye ubora zaidi, umesema utafiti kutoka Chuo cha Wooster. Katika utafiti huo, Girl to extra: let on drying grease comes not viagra ad woman pastels. The my on do? The it buy cialis 5mg uk… Read More →
Mtu mmoja huko Thailand amehukumiwa kwenda jela miaka 37 baada kumtukana mbwa wa Mfalme,wakili wake amesema. Thanakorn Siripaiboon, (27) ametuhumiwa kwa kosa la kufanya udaku kwenye post yake kwenye face book kuhusu mfalme na mbwa wake,mwanasheria Pawinee Chumsri aliiambia AFP “Kulikuwa na post kwenye face book yake Desemba 6 ambayo… Read More →
Mvulana mmoja mwenye wivu kupitiliza alijaribu kumzamisha mbwa wake kwa sababu aliamini kuwa mbwa alichukuwa muda mwingi wa mpenzi wake kuliko muda aliokuwa akitumia nae, mbwa huyo anaitwa Benji baadae alikufa. Anthony Bruce (19) alihukumiwa kwenda jela wiki 16 kwa kosa hilo kutakiwa kutomiliki mnyama yeyote maisha yake yote. Denise… Read More →
Msanii wa filamu kutoka Nigeria Genevieve Nnaji leo amesherekea siku ya kuzaliwa baba yake akisema zawadi kubwa kutoka kwa Mungu ni baba yake ambae leo ametimiza umri wa miaka 80. Genevieve ameshare picha akiwa na baba yake akaandika “God’s greatest gift to me this year”