Navio Kuzindua Albamu Yake Ya “The Chosen” Akipigwa Tafu Na Avvio Smartphone

MTN imeungana na Navio kuitangaza simu ya “Avvio” wakati wa concert ya uzinduzi wa albamu yake siku ya kesho Jumamosi Desemba 12 pale Panamera bar na baadae itachezeshwa droo kwa ajili ya kushinda gari aina ya KIA sportage cars zikiwa tatu. Albamu ya nne ya Navio inayoitwa “The Chosen” itazinduliwa… Read More →