Dstv Yazidi Kudhihirisha Ubora, Yazindua Dikoda Mpya Ya Dstv HD Zappa Nchini Tanzania
Siku ya Jumatano 4 Februari 2015 katika hoteli ya New Africa Hotel jijini Dar es salaam, kampuni ya Multichoice ilikuwa na furaha kuzindua king’amuzi kipya cha Dstv HD dikoda ambacho kitaanza kutumika kwa mara ya kwanza nchini Tanzania. King’amuzi hicho kipya kitakuwa na uwezo wa hali ya juu ambacho kitakuwa… Read More →
