Baada Ya Kuhukumiwa Kifungo jela, Rais Wa Buyern Munich Uli Hoeness Atangaza Kujiuzulu Nyadhifa Zake Zote, Asema Hatokata Rufaa

Ikiwa ni siku moja baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu na Nusu jela Rais Wa Bayern Munich Uli Hoeness amejiuzulu nyadhifa zake zote ikwemo urais wa timu hiyo na uwenyekiti wake Kujiuzulu huko kunatokana na kukutwa na kosa la kukwepa kulipa kodi ya kiasi cha 27m euros,pia Bwana Hoeness amesema hatokata rufaa na… Read More →