Yule Mtafsiri wa lugha za Ishara Aliyeleta Vioja Wakati Wa Ibada Ya Mandela Alazwa Wodi Ya Wagojwa Wa Akili

Yule Mkalimani wa lugha za ishara Thamsanqa Jantjie aliye ushangaza ulimwengu wakati wa ibada ya Aliyekuwa Rais wa kwanza mzalendo wa Afrika Kusini Nelson Mandela amelazwa katika Hospital Ya wagojwa wa akili Mke wake Siziwe ameseama huenda mumewe ana matatizo Ya Akili Hayo yanatokea baada ya kushutumiwa na wataalam walugha za alama… Read More →