Simu za kichina (Fake) kuzimwa nchi nzima,
Tanzania inatarajia kuchukua hatua kama iliyochukuliwa nchini Kenya ya kuzichinjia baharini simu zote za bandia ambazo nyingi ni za kichina kwa kuzizima kabisa. Taarifa hiyo imetolewa na kaimu meneja mawasiliano wa mamlaka ya mawasiliano (TCRA) Semu Mwakyanjala ambaye amesema mamlaka hiyo itaanza kwa kutoa elimu kwa umma kuhusiana na umuhimu… Read More →