Mtu Mmoja Adondoka Toka Ghorofani
Mtu Mmoja aliefahamika kwa jina la Shirima Amejirusha toka juu Hotel Ya Konkod Kariakoo jijini Dar Es Salaam na kukimbizwa hospital. sababu za mtu huyu kudondoka bado hazijajulikana kwamba ilikua ni bahati mbaya au aliamua tu kujirusha kwasababu zake mwenyewe tutaendelea kufuatilia na kukuletea story zaidi