Rais kikwete atoa vyeti kwa makundi maalun yalioshiriki kwa namna moja ama nyingine katika maafa ya kuanguka kwa Ghorofa jijini Dar
Rais Jakaya Kikwete amepongeza ushirikiano ulioonyeshwa na wadau wote walioshiriki kutoa huduma mbalimbali ikiwemo kunasua miili ya watu waliofukiwa na kifusi baada ya jengo la ghorofa 16 kuanguka jijini Dar es salaam machi 16 mwaka huu, ambapo watu 34 walipoteza maisha. Akizungumza katika hafla ya kuwapongeza na kuwashukuru wadau hao… Read More →