
Ronaldo na Wayne walikutana na kurekodiwa ikiwa ni episode ya 22 ya “Weezy Wednesdays” wakiwa pamoja.
Cristiano Ronaldo na Lil Wayne walikutana ndani ya Montage Hotel huko Beverly Hills California wiki hii TMZ walieleza.
Wakali hao walikutana kwa muda wa saa zima,wakiwemo na wachezaji wengine wa Real Madrid Sergio Ramos na Pepe wote walikuwa na Lil Wayne .
Ronaldo na Wayne waligonga vichwa vya habari wiki iliyopita, waliongea kuhusu muziki wa Lil Wayne Ulaya na kuhusu ngoma mpya anayotegemea kuiachia.
Mwakilishi wa YMCMB alisema wawili hao walikuwa wakifanya deal pamoja ingawa walikana kufanya deal.
Ni kitu ambacho Cristiano Ronaldo na Lil Wayne wanafanya lakini kitajulikana inaonekana bado wanafuata protocol mpaka deal iwe tayari hawawezi kuitangaza ikiwa bado katika hatua za awali, tusubiri tuone alafu utapata kupitia hapa hapa salmamsangi.com.
