Ijumaa hii ndani ya Wantash Pub Masaki inafanyika Dala Dala Beats Party ile party inayokutanisha wakazi wa Dar es salaam kwa lengo moja tu la kufurahi!! Selfie kibao, red carpet treatments, Tutaenjoy ngoma kali kutoka kwa Dj Tass na Dj Nature behind the microphones Mtoto Mzuri TJ na Jimmy Jamal watasimamia mpango mzima.
Karibuni homies, friends na fans wa Dala Dala Beats Dar es salaam kwa lengo moja tu la kufurahi usiku wa Dala Dala Beats Party..Vinywaji vya kila aina pamoja na misosi itapatikana, Ulinzi ni wa kutosha kwa ajili yako na mali zako.!!
Ni Ijumaa hii ya tarehe 15 August 2014….Two Days To Go!! Tukaenjoy Dala Dala Beats Party!!