Dj Mkongwe hapaNchini Tanzania RaNkini Ramadhani abaye amesha wahi fanyi kazi takriban Radio Maarufu ikiwemo Magic Fm, Radio One ambayo ndi0 iliyomtambilisha zaidi latika tasnia ya udj, clouds Fm Na nyinginezo amaefariki duni leo jioni baada ya kuugua kwa muda mfupi na kulazwa katika hospital ya mwananyala Ya Jijini Dart Es Salaam
Taarifa za awal zinasema DJ Rankim Ramadhani Alifariki kwa Kuugua Mlaria na vidonda Vya tumbo
Mipango ta mazishi inafanyika na mazisjhi yanatarajia kuwa kati ya sinza au Saka Sala Jijini Dar Es Salaam