Baada ya lile sakata la mdogo wake Beyonce Solange kumpiga mateke na mangumi shemeji yake Jay Z walipokuwa ndani ya lifti wakitokea kunako party
Eti habari NY Daily news zindai chanzo cha ugomvi huo ni baada ya Solange kutaka kujua kwanini Jay Z Lipanga kwenda kwenye after Party ya Rihanna Met Gala Mwenyewe bila dada yake Beyonce?
Soma Hapa Zaidi,
The dispute that prompted Beyoncé’s sister to attack Jay Z at a Manhattan hotel centered on the rapper’s wish to keep the party going at a shindig hosted by RiRi, the Daily News has learned.
Tensions were already running high when Jay Z — while walking to the now-infamous Standard Hotel elevator — said he was going to the Rihanna bash rather than heading home with Beyoncé.
“Why can’t you go home?” a drunken Solange Knowles said to her brother-in-law as they left the swanky May 5 Met Gala after-party, a source told The News.
Ila Me napenda sana maisha ya Jay Z na Beyonce, pamaoja na pesa na umaarufu walionao wanaishi maisha ya binadamu wa kawaida hawana haja ya kuwapa watu faida yatokeapo mambo yakifamilia kwa kifupi wao family ni maisha binafsi kama ni kick wanaitafuta kwa kufanya kazi nzuri na kuridhisha mashabiki wao