
Msanii wa filamu kutoka Nigeria Genevieve Nnaji leo amesherekea siku ya kuzaliwa baba yake akisema zawadi kubwa kutoka kwa Mungu ni baba yake ambae leo ametimiza umri wa miaka 80.
Genevieve ameshare picha akiwa na baba yake akaandika “God’s greatest gift to me this year”
