
Kim Kardashian kweli? Ni kweli kaitukana Nigeria kiasi hiki? Tweet yake inayodaiwa aliiandika juzi imeleta shida kubwa kwa wananchi wa Nigeria na Afrika kwa ujumla baada ya kutweet:
Si tu alisema Nigeria ni nchi inayokera lakini pia anasema wanawake wake wanafanana na sokwe!!
Hata hivyo Kim amekanusha kuandika tweet hiyo na kusema imetengenezwa.
“I see there’s a photo shopped tweet floating around, supposedly something I said about Nigeria.
That was NOT me, or my feelings. That fake tweet is very disturbing & I would NEVER EVER tweet something like that.”
Hiyo sio mara ya kwanza msanii wa Marekani kuidiss Afrika.
November 21 mwaka jana , Keri Hilson aliingia matatani baada ya kuidiss Ghana:
Naye alikanusha kwa kudai kuwa tweet hiyo ilitengenezwa.at 3/27/2013
