
Wafanya Biashara Wa maduka Ya kariakoo Jana Waliyafunga maduka yao wakipinga mashine ya kodi ya EFD
Pamoja na wafanya Biashara wa kariakoo pia Huki Mikoani napo wamekuwa wakifanya hivyo
hebu tazama jinsi kariakoo inavyokuwa jamani pakiwa maduka yamefungwa
