
Tweet hii leo imezunguka sana duniani kote baada ya kugundulika kwamba ilitabiri Kanye West watamuita mtoto wao Saint, miezi iliyopita mwezi Juni mwaka huu, kwa sasa watu wanafurika kwenye TL yake wakimtaka awe anatabiri mechi mbali mbali, namba za kushinda lottery na mambo
cialis free coupon ellen viagra http://sildenafilcitrate-100mg-rx.com/ cialis and viagra mix sildenafil 20 mg price
kama hayo…LOL!
Watu wanathubutu kusema kwamba Kanye West na Kim Kardashian waliiona tweet hiyo ndo wakalichukua jina hilo.
