
Iggy Azalea amemjibu kutokana na posy za Snoopy kwenye instagram akimtania muonekano wake.
Snoop doggy alipost picha akimtania Iggy Azalea kwenye ukurasa wa instagram Oktoba 12 Jumapili.
Picha hiyo inamuonyesha mtu na ikiwa na maelezo yanayosema Iggy Azalea akiwa hajajiremba “Iggy Azalea No Make Up”
Azalea alijibu kwa muendelezo wa twitter lakini kwa sasa zimefutwa kwenye timeline yake.
“Kila wakati nimekuwa nikiongea na wewe, kila wakati ulikuwa mtu fresh sana, nachukizwa umekuwa mshamba bila sababu yeyote” aliaandika Iggy kwenye moja ya tweet zake taarifa za HotNewHipHop zimeeleza.
Ukurasa wa instagram ya Snoop dogg ulipost screen shot ya mtu ambaye ni albino akaandika Iggy Azalea No Make Up…
