
Tae Stackhouse ni mgonjwa wa saratani aliyepo hospitali ya saratani huko North Carolina.
Mkali huyo wa Hip Hop kutoka lebo ya roc Nation J.Cole alimtembelea mgonjwa huyo, hii inakuwa inamfariji kwa hali ya juu mgonjwa kwa kuwa anakuwa ametembelea na mtu ambaye yeye anampenda.
Tae Stackhouse ni shabiki wa J.Cole nayetokea mji anaotokea rapper huiyo Fayetteville, North Carolina. Mama yake na shanganazi Walikutana na J.Cole walipokuwa wameenda hospitali kumsalimia ndipo wakakkutana na J.Cole wakaongea nae wakaenda kumsalimia shabiki wake.
“Kweli nafurahi sana kwa hili, nataka kuwshukuru sanan mama na shangazi yangu kwa kumleta rapper ninayempenda kuja kuniona hospitali, najigamba kwa kusema nimebarikiwa sana hata kama naumwa saratani, aliniambia niendelee kufanya mazuri na hicho ndicho nakifanya asante J.Cole #RoleModel.” Aliandika Tae kupitis ukurasa wa facebook.
Angalia picha ya J.Cole na Tae waliyopiga pamoja alipokwenda kutembelewa hospitali….
