
Janet Jackson mwenye umri wa miaka 46, amelaani ripoti ambayo inasema anaumwa saratani ya koo, hii inakuja baada ya kufuta tour yake ili akafanyiwe upasuaji…alitoa maelezo akieleza kwamba anaendelea vizuri na anapona, mipango ya tour inaendelea vile vile kwa tour ya Ulaya kwa shows zilihairishwa zitapangiwa tarehe nyingine, Check hapo chini alivyoandika…
