Wanandoa hao walimchukua binti yao Blue Ivy kwenda Louvre na wakapiga picha mbele ya artwork moja kama Leonardo da Vinci “Mona Lisa”
Wawili hao walitembelea makumbusho ya Louvre mapema wiki iliyoisha wakiwa wenyewe kwenye tour yao hiyo huko Paris, Beyonce alipost picha kwenye mitandao ya kijamii kushare na mashabiki wake tour hiyo, zikiwemo picha akiwa na mume wake Jay Z mbele ya sehemu maarufu ya Mona Lisa.
Beyonce alishare picha nyingine ambayo inawaonyesha wawili hao wakiwa wamesimama mbele ya art nyingine wakiwa na mtoto wao mwenye umri wa miaka 3. Tofauti muigizaji Jennifer Lawrence akafunguka uzuri wa wawili hao kwenye mahojiano na Vanity Fair, alipoulizwa kuhusu nani alimpenda zaidi katika Destiny Child, Lawrence alifunguka na kusema albamu ya Destiny Child ilikuwa cd yake ya kwanza kabla hajaelezea experience ya kukutana Jay Z.
“Destiny Child ilikuwa CD yangu ya kwanza, “TLC, nilikutana na Jay Z nilikuwa nimeudhiwa sana, ungeweza ukaona magoti yangu kuruka juu na chini, unajua unapokuwa umeduwaa? Jay Z alinuliza niko fresh? Nikamwambia ndio hapo hapo nikasema bye, Ni mfalme na malkia wa Marekani wa muziki. Alafu Brad na Angelina Jolie wao mfalme na malkia wa movies, nadhani” alisema
Jay Z Na Beyonce Watembelea Kwa Siri Makumbusho Ya Louvre
Previous Story
UTAFITI: Viagra Husababisha Upofu
Related Posts
-
-
Hatimae Brad Pitt Na Angelina Jolly Wafunga Ndoa
-
Mchezaji Wa Uruguay Suarez Kwa Mara Nyingine Amng’amta Mchezaji Wa Italy Giorgio Begani Katika Mechi Ya Jana
-
Alichokisema Msanii Bob Junior baada ya kumaliza Ziara yake ya Europe
-
Funkmaster Flex Asema Alimtambulisha Nas Kwa Biggie
-
Huyu Ni Mama Wa Mke Wa Star Will Smith Jada Pinkett Na Bibi Wa Mastar Willow ,Jaden: What’s Your Excuse??
-
Msanii Mwingine Wa Muziki Bongo Fleva Afariki Dunia, Ni Wa Kundi La Tmk Wanaume Family