
Tiwa Savage na Teebillz hatimaye wamemuonyesha sura mtoto wakiume anayeitwa Jamil, walimuonyesha ilikuwa siku ya Christmas….Good son..Congrats.
Kwa sasa mastaa wengi duniani kuonyesha ovyo watoto wao imekuwa ishu san, mpaka sasa hakuna aliyeona picha ya mtoto wa Kanye West na Kim Kardashian mtoto wao mwingine wakiume anayeitwa Saint licha ya mitandao na magazeti kutangaza dau kutaka picha hiyo
Kibongo mtoto ambae hajaonekana mpaka sasavni mtoto wa muigizaji wa Bongo movie Aunt Ezekiel.
