Ligi kuu ya Uingereza imeendelea tena jana Jumanne 29 Desemba kwa mchezo mmoja wa kukata na shoka kati ya Man City dhidi ya Leicester sildenafil otc City, Leicester city wamepoteza nafasi ya kurejea tena kwenye usukani wa ligi hiyo baada ya kutoka viagra oder cialis sare ya bila kufungana na Man City katika uwanja wa The King Power Stadium. Leicester wamefungwa mara 2 tu kwenye msimu huu wa premier league mara ya pili wakifungwa na Liverpool siku ya Boxing day Jumamosi sildenafil e avc Desemba 26, 2015, na jana wametoa wametoka sare 0 – http://sildenafiloverthe-counter.com/ 0 na Chelsea na kumfanya Arsenal aendelee kubakia kileleni kwa tofauti ya magoli pointi wakiwa sawa 39 kwa 39. Leicester na Man city wote walipata nafasi na kuleta upinzani wa top rated online pharmacy kiburudani na makipa wao Kasper Schmeichel na Joe Hart walikuwa makini golini kila mmoja alicheza vizuri. Mchezaji bora wa mechi Jamie Vardy aliikosesha Leicester nafasi nzuri ya ushindi baada ya kupaiza mpira juu baada ya kupata nafasi ya wazi na kukimbia na mpira katika kipindi cha kwanza, Sergio Aguero nae alikosa goli akiwa miguu 6 baada ya wote kuingiliana.