
Baada ya kelele nyingi juu ya kutokea kwenye uso wa jarida la US Vogue Kim Kardashian Na Mchumba wake Kanye West wamewaziba midomo Ma Hate baada ya kuonekana wakimtoa Chakula Cha Usiku Muhariri Mkuu Wa jarida hilo Anna Wintour huko York City’s Waverly Inn
Kivazi cha Kim mara hii ndio komesha bovu baada ya kuvalia nguo ya lace rangi ya grey inayomuonyesha maungo yake na nguo zake za ndani ambazo zinaonekana kwa rangi nyeusi, japo kivazin hicho kinasemwa kilikuwa maalum kwa ajili ya kipindi cha Television cha Cha Usiku Mkubwa Cha Seth Meyers Show.
Kim Alitweet kuhusiana na uzuri wa mahojiano yake na kusema ‘Getting ready for latenightseth! Tune into NBC tonight!’
Kibongo Bongo Ni Kama Kusema ‘KELELE ZA CHURA HAZIMZUII NG’OMBE KUNYWA MAJI’ Nyie semeniii yake yanajiendea
Kumekua na kutoridhishwa kwa wasomaji wa jarida la Vogue baada ya kumtumia Kim na Kanye kama Cover Story
Kwa Kim Imekuwa ni Ndoti Ya siku Nyingi Iliyotimia
Tazama Picha Hapa
Huyu ndio Anna Wintour Muhariri Mkuu Wa Jarida la Vogue US akiwa katokelezea wakati wa Dinner yake na Wapenzi Kanye Na Kim
