Ikiwa Ni katika zile harakati za kumkuhamasisha Raisi GoodLuck Jonathan Wa Nigeria kufanya lolote ilimradi kuokoa maisha ya watoto wa kike 234 waliotekwa nyara na wanamgambo wa boko haramu
Mke Wa Raisi Wa marekani Michelle Obama ameongoza mastar wengine wakubwa duniani katika kumuhamasisha Raisi Huyo kufanya lolote ili kurejeha nyumbani watoto hao wakike waliotekwa wakiwa shuleni
Mastar hao ni pamoja na Naoami Campbell, Drake, Malala Yousofzai