Baada ya kushinda kesi yake dhidi ya gazeti la Kifaransa linaloitwa “Oops” Leonardo Dicaprio ameshutumiwa na mmiliki wa gazeti hilo kwa kuwa mbaguzi, muigizaji huyo maarufu alilipeleka gazeti hilo mahakamani mwezi Juni akitaka alipwe euro 18,000 au sawa na dola 20,000 ikiwa ni pamoja na hela alizotumia kuendesha kesi hiyo, baada ya gazeti hilo kuandika kwamba alikuwa na mtoto na Rihanna na alimkataa mtoto huyo, pia alitaka waandike tena kuomba msamaha. Gossip cop anaripoti kwamba mhariri wa gazti hilo anasema muigizaji huyo mwenye umri wa miaka 40 alilishtaki gazeti hilo kwa sababu ya ubaguzi alionao, alisema ‘DiCaprio almost systematically goes out with Aryan-type girls, always blonde hair. ‘He could not stand the fact that our magazine was saying he was having a baby with a black girl.”We were totally expecting this decision, since in France when any magazine speaks about a celebrity’s private life the magazine is automatically condemned. The French court has ruled in favour of the Leo finding not only were the claims false the publication of two paparazzi pictures of the star breached France’s very strict privacy laws.He was awarded just over $USD8,800 in damages and legal fees. Gazeti lingine linalofuata lazima waandike
kwa Leo ameshinda kesi hiyo kutokana na maamuzi ya jaji. Mmiliki wa “Oops” Frederic Truskolaski amemwambia ripota alitegemea kushindwa lakini alisema star huyo aliwashtaki kwa sababu tu anataka awaharibie kwa sababu anamambo ya kibaguzi. Mmiliki huyo mwanzo alikubali gazeti lake lilijua huenda stori hiyo ya Rihanna kuwa na mimba ingekuwa uongo. Bradley Cooper pia analishtaki gazeti hilo kwa kuingilia maisha yake binafsi.