Msanii mkongwa wa Bongo Flava Lady Jay Dee amefiwa na dada yake Aitwaye Lucy Lameck Isambwa Mbibo
Lady Jay Dee Ameshare Taarifa Hizo za msiba wa dada yake kupitia mitandao yake ya kijamii
Akiwa nyumbani kwao Ukonga Jijini Dar, Jide alipost Picha AkiwaMsibani huku marafiki zake wa karibu wakiwa wameenda kumfariji katika kipindi hiki kigumu. Moja ya wasanii waliokuwepo ni pamoja na msanii mkongwe katika game ya hip hop hapa Taznania Professor J
Mwili wa marehemu Lucy Mbibo unatarajia kusafirishwa Kesho kwenda kwao Mkoani Mara kwa mazishi
Mungu Ailaze Roho Ya Marehemu mahali pema peponi
Amen