MAREHEMU JULIUS NYAISANGA KUSHOTO ENZI ZA UHAI WAKE
Mtangazaji mkongwe nchini Julius Nyaisanga Amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Mazimbu mkoani Morogoro baada ya kuugua maradhi ya Sukari kwa muda mrefu na sababu nyingine ikitajwa kuwa ni shinikizo la damu.
Julias Amefariki wakati anatumikia kamuni ya Abood Media kwa cheo cha manager kama kili alichokuwa nacho wakati anafanyia kazi makampuni ya Ipp Media Radio One kabla hajahamia Abood.
Kabla pia marehemu alishawahi kufanyia kazi RTD kipindi hicho sasa ni TBC akiwa kama mtangazaji wa vipindi mbali mbali
Mungu ampumzishe kwa amani mpiganaji Julius Nyaisanga
Mfano wa kuigwa