
Kwa Mujibu Wa Mtandao Wa MTO.. Mwanamke mmoja toka Los Angeles Marekani amepasuka makalio yake fake wakati anafanya mapenzi ya nguvu (rough sex) na Baba Mtoto Wake
Kwa mujibu wake ni kwamba yeye na mpenzi wake walikuwa wanafanya mapenzi na mara akasikia mlipuko katika makalio yake wakati akiendelea na tendo, kugeuka nyuma akagundua Silicone alizopandikizwa kwa makalio yake zime bust,
Sumu ya silicone iliyopandikizwa katika makalio yake ilitiririka na kuingia kwenye mfumo tofauti uliosababisha madhara ya kupasuka
