
Kitu ambacho kimetazamwa kama ni cha kuogopesha kwa watu wengine, mke wa aliyekuwa rais wa Philippines Imelda Marcos amefikisha miaka 85 leo na ametembelea mwili wa rais huyo wa zamani wa Philippines Ferdinand Marcos huko Ilicos Norte.
Alibusu jeneza lake hilo la kioo ambapo mwaili wa rais huyo ambao haukuzikwa toka alipofariki mwaka 1989.
Mke huyo wa rais wa zamani wa Philippines alisema hongera za siku yake ya kuzaliwa anatamani zielekezwe kwa mume wake kwa kupokea maziko ya kishujaa, hongera hizo zimeendelea kukatiliwa na serikali za nchi hiyo.
