Wakati Watanzania Wapo katika kampeni ya Kupunguza maambukizi ya Ukimwi kwa Kuhamasisha Watanzania Kuachana na Michepuko na kubaki Njia Kuu
Wabunge nchini Kenya wamepitisha ndoa za mitaala za kuwaruhusu wanaume kuoa mwanamke wa pili bila hata ridhaa ya mwanamke wa kwanza [bila hata kumwomba mwanamke wa kwanza ]
Akipitisha mabadilikon hayo Mwenyekiti wa kamati na sheria Samwel Chepkonga amesema wanaume wa afrika wanatarajiwa kuwa na ndoa ya mke zaidi ya mmoja.
Je Hii Itasaidia Kupunguza Maambukizi kweli??? Au Ndio Mchepuko Ruksa Nchini Kenya???