
Iggy Azalea ni mwanamke wa kwanza kuwa na ngoma 2 kwenye top 3 ya Billboard list ya kipindi cha kiangazi.
Ngoma aliyomshirikisha Charli XCX imekamata namba 1 kwa wiki 7 kipindi hiki cha kiangazi ikiwa kwenye chart, ni ngoma maarufu sana ambazo ziliimbwa kwenye Memorial Day na Siku ya kazi kutokana na Billboard Hot 100.
Iggy Azalea pia ametoke kwenye Ariana ya Grande “problem” ikikamata namba 3 katika chart kipindi cha kiangazi.
Ukitoa mafanikio ambayo Iggy ameyapata, amekutana na maneno kibao ambayo kama haupo imara yanaweza kukukatisha tama, Boss wake T.I ameshatokea mara kibao na kumtetea mwezi uliopita alimtetea baada ya Iggy kuambiwa ni mbaguzi.
“Hilo linaniudhi sana, toka lini mtu unahaki ya kumuhukumu mtu? Wana mwambia kwamba ni mbaguzi, hata sio yeye, wala sio ndani yake, mimi namjua, najua alipotokea, kweli, kuhusu ubaguzi wote, hiyo ni Marekani, tunasahau kwamba sio Mmarekani, kwa hiyo Weusi, Weupe. Rangi inagawanya vitu, sio sehemu ya vina saba (DNA) kama ni hapa Marekani.
Mimi napuuzia hilo, siku kama hizi na miaka hii, kuwa mbaguzi kwa watu ambao kila siku wanaongela ubaguzi wanataka usawa na haki alafu uende tofauti nao kwa kutokuwa na sababu yeyote, ni unafki, Mimi niko nae, wote anzeni” kila mtu ana tatizo na hili najua, itakuwa moja, kwa sababu nakuja” alisema T.I.
Iggy Azalea kila siku watu wanamuongelea, inamaana Iggy kwa sasa anakick sana, ukiona kila siku watu wanakuongelea ujue kwamba wewe unakick kinoma. Haiwezi kuisha wiki isitokea stori kuhusu Iggy kwa uzuri au ubaya…Keep move on Iggy.
