Hii Ndio Cover Artwork Ya Albamu Mpya Ya Sauti Sol “Live & Die In Africa”
Wakiwa wameshinda tuzo ya AFRIMMA nchini Nigeria kama Best African Group & Producer of The Year kundi la Sauti sol kutoka nchini Kenya hatimaye wameonyesha cover ya albamu yao inayotegemea kutoka siku si nyingi, zikiwemo ngoma zinazopatikana ndani ya albamu hiyo ikiwa ni tatu inayoitwa “Live and Die in Africa”.... Read More →