Picha: Women Supporting Women Iftar Ilivyopata muitikio mkubwa Msasani Mall
Women supporting Women Ni slogan iliyopatikana katika kutafuta mchango wa iftar hii iliyoandaliwa pale maeneo ya msasani Mall jijini Dar ikihusisha wanawake wote japo ilitangazwa kwa muda mfupi kupitia mitandao ya kijamii Dhumuni la ftari of cause lilikuwa ni kuchangisha pesa kwa ajili ya ftari lakini pia kiasi kilichobaki kutumika... Read More →
